Nchini Italia, vyama vinavyopinga muungano wa Ulaya na vinavyofuata siasa kali za mrengo wa kulia zinaunda serikali// Wapiga kura wa Ireland hii leo wataamua ikiwa wadumishe moja ya mifumo migumu ya utoaji mimba barani Ulaya// Sheria mpya za kulinda data barani Ulaya zinaanza kutekelezwa leo Ijumaa.