Tanzania, Chato- Mwili wa aliyekuwa rais wa taifa hilo la Afrika Mashariki, Marehemu John Magufuli, unaagwa nyumbani kwake katika Uwanja uliopewa jina lake//DR Congo- Waasi wa kundi la ADF wanaripotiwa kuendelea kuvishambulia vijiji katika wilaya ya Beni// Rais wa Marekani Joe Biden atajiunga kwa njia ya video na viongozi wengine katika mkutano wa kilele wa Umoja wa Ulaya.