Chama cha kisoshalisti cha Ujerumani SPD kimemtangaza spika wa zamani wa bunge la Ulaya Martin Schulz, kuwa mgombea wao wa nafasi ya Kansela// Kuongezeka kwa viongozi wa siasa kali za kizalendo za mrengo wa kulia kote duniani kunatishia kudhoofisha vita dhidi ya rushwa// Rais Donald Trump leo anatarajiwa kusaini amri kuu za kiutendaji zinazohusiana na kupiga marufuku wahamiaji kuingia nchini humo.