Mkakati wa Rais wa Marekani Donald Trump wa kufuata sera ya "Marekani kwanza" unaanza kuzusha maswali juu ya nani atajaza ombwe iwapo Marekani itajivua jukumu la uongozi wa dunia// Idadi ya mashambulizi ya magaidi na wapiganaji kote duniani iliongezeka kwa asilimia 26 na kufikia zaidi ya 24,000 mwaka jana kutokana na kupamba moto kwa matumizi ya nguvu nchini Ukraine, Uturuki na Yemen.