Waziri Mkuu Ahmed awaongoza wanajeshi vitani/ Shirika la UNESCO limepitisha tarehe saba Julai kila mwaka kuwa siku ya kuadhimisha lugha ya Kiswahili kote duniani/ UN: Vita vya Yemen vitagharimu maisha ya watu 377,000/ Mazungumzo kati ya IAEA na Iran kwa mara nyingine yamemalizika jana bila ya matokeo yenye tija kubwa/ Colombia k4adhimisha miaka mitano ya mkataba wa amani