Rais wa Ukraine Petro Poroshenko anawashinikiza wakuu wa Umoja wa Ulaya kutilia mkazo vikwazo dhidi ya Urusi, wakati ambapo Umoja wa Ulaya ukitaka uhakikisho kutoka kwa Ukraine kuwa unafanya linalohitajika kupiga vita ufisadi//Andrew Glimour yuko ziarani nchini Kongo ambako amelezea wasiwasi wake kuhusu kubanwa kwa uhuru wa kisiasa nchini humo.