Joto la uchaguzi nchini Ujerumani limefikia kiwango cha juu kabisa ikiwa zimesalia saa 48 kabla wapiga kura kutemreka vituoni Jumapili ya Septemba 26 kulichagua bunge jipya+++Tunisia- UGTT imesema hatua ya Rais Kais Saied kuchukua mamlaka kamili na kuifanyia katiba mageuzi, ni hatari kwa demokrasia+++Jumuiya ya waumini wa Kiislamu nchini Uganda imefanya ibada ya kwanza ya Ijumaa.