Meya wa zamani wa mji wa London Boris Johnson anatazamiwa hii leo kuapishwa rasmi kama Waziri Mkuu wa Uingereza// Annegret Kramp-Karrenbauer anatarajiwa kuapishwa rasmi hii leo kuma Waziri wa Ulinzi mpya mbele ya Bunge la Ujerumani// Mwanajeshi mkongwe wa Marekani, Mark Esper ameapishwa rasmi kuwa waziri mpya wa ulinzi wa Marekani.