Kenya: Magavana wawili pekee wa kike wanakabiliana na kipindi kigumu uongozini, wote wakiandamwa na tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka/ Tanzania: Mjadala umekuwa ukiendelea tangu kukamatwa kwa kiongozi mkuu wa chama cha upinzani ACT/ Bunge la Rwanda limepitisha muswada wa sheria itakayoruhusu ujenzi wa kiwanda cha nishati ya kinyuklia/ Marekani yarejea kwenye kilele cha maambukizi ya COVID-19