Kujiuzulu kwa Waziri Mkuu Theresa May kunaonekana kuwa huenda kukaifanya hali ya Uingereza kujiondoa kutoka kwenye Umoja wa Ulaya, Brexit, kuwa ngumu zaidi// Watu wanaofanya mapenzi ya jinsia moja wamepata pigo baada ya mahakama nchini Kenya kukataa kuhalalisha uhusiano wa aina hiyo