Rais wa Marekani Donald Trump ameufuta mkutano wake wa kilele na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un// Nchini Tanzania, chama cha wananchi CUF kimesema bado Kinasubiri majibu ya wito wa kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli ili kusaka suluhu ya mkwamo wa maridhiano ya kisiasa visiwani Zanzibar uliotokea mara baada ya uchaguzi mkuu wa 2015.