Mkutano wa kilele juu ya Misaada ya Kibinaadamu mjini Istanbul : Dola bilioni 1 kukatwa gharama za misaada ya kiutu// Ugiriki: Wahamiaji wahamishwa kambi ya Idomeni// Kenya: Viongozi wa muungano wa upinzani CORD unaoongoza maandamano ya kuipinga Tume ya uchaguzi IEBC kila Jumatatu, wamelaani vikali mauaji ya watu watatu