Algeria: Vijana wanakutikana mstari wa mbele katika vuguvugu la kudai mageuzi ya kina baada ya kung'olewa madarakani rais Bouteflika/ Kongo: Rais Tshisekedi anaendelea kukabiliwa na changamoto ya makundi ya waasi na wanamgambo katika eneo la mashariki / Zaidi ya wanafunzi 500 kutoka jimboni Marsabit nchini Kenya ,wamepewa mafunzo ya jinsi ya kuasi mila potofu ya ukeketaji