Marehemu Magufuli aagwa kwa majonzi makubwa mjini Mwanza/ Tumezungumza na mwanafamilia mmoja aliyepoteza wapendwa wao katika mkanyagano wakati wa shughuli ya kumuaga marehemu Rais John Magufuli mjini Dar es Salaam / Netanyahu: Mwanasiasa anayesaka kubaki madarakani/ EU kukaza masharti ya kuuza chanjo za COVID-19/ Bado dunia ina kazi kubwa ya kufanya kuudhibiti ugonjwa wa kifua kikuu