Wakati Rais Trump akianza kuunda mipango yake kwa ajili ya amani ya Syria, wachambuzi wanaonya kwamba anapaswa kuhakikisha Uturuki haiendelei kuwashambulia wapiganaji wa Kikurd/ Mkutano kuhusu nchi zinazopakana na ziwa Chad unafanyika leo hii mjini Oslo/ Tume ya Vyuo Vikuu nchini Tanzania TCU imechapisha orodha ya wanafunzi wa vyuo vikuu ambao wamedahiliwa katika programu ambazo hawana sifa nazo.