Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mchakato wa kile kinachoitwa na Urusi "Kura ya maoni" umefanyika hii leo katika mikoa minne ya Ukraine/Watu wasiopungua 73 wamekufa baada ya boti iliyowabeba wahamiaji kutoka Lebanon kuzama nje ya pwani ya Syria