Tanzania: Chadema na ACT Wazalendo vyakubali kushirikiana/ Burundi: Upinzani Burundi wadai wanachama wao 55 wamekamatwa/ EU kupenedekeza mageuzi ya mfumo wa uhamiaji, wakimbizi/ Idadi ya waliokufa kutokana na janga la virusi vya corona nchini Marekani imepindukia watu 200,000