Miongoni mwa tarifa za jioni ya leo: Wahamiaji waondoka Macedonia na kuelekea Hungary ikiwa ni moja wapo ya nchi za Umoja wa Ulaya.//Mawaziri Ujerumani waitoleta wito sera ya pamoja ya kupambana na changamoto ya wahamiaji barani Ulaya.//Na mwanaharakati wa upinzani Burundi auwawa.