Johnson ashinda uchaguzi wa kukiongoza chama cha Conserative/ Macron asifu makubaliano ya kutatua mkwamo wa uhamiaji Ulaya/ Kujiuzulu kwa waziri wa afya nchini Kongo kumezusha maoni tofauti miongoni mwa raia nchini humo/ Kenya na Botswana zimeufungua ukurasa mpya wa ushirikiano na kuahidi kuwa kitu kimoja kwenye masuala ya biashara ya kikanda