Rais Joe Biden ameitisha mkutano wa kilele wa siku mbili ili kutangaza kwamba Marekani imerejea kwenye mkataba wa Paris// Mwanawe Deby, Mahamat Idriss Deby, ateuliwa na jeshi kuongoza kipindi cha mpito// Wabunge wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameelezea mashaka yao kuhusu kuongezeka wanajeshi wa kigeni kuongezeka katika eneo hilo.