Mauaji ya George Floyd yaliyotokea mwaka jana na kufuatiwa na maandamano kwa ujumla vilisababisha wimbi la mageuzi kwenye jeshi la polisi kwenye majimbo mengi nchini Marekani// Wanaharakati wa wanawake nchini China wamekumbwa na wimbi jingine la ukandamizaji// Nchi inayoongoza katika kasi ya maambukizi ya virusi vya corona duniani kila siku, India, inaelekea kutumbukia katika mzozo mkubwa.