Nchi za Magharibi zaongeza mbinyo dhidi ya utawala wa kijeshi Myanmar wakati maandamano yakiendelea // Marekani yaomboleza zaidi ya vifo 500,000 vya Covid-19 // Na Askari 15 wa kulinda amani Sudan Kusini ambao wanatokea jimbo la Tigray wakataa kurejea Ethiopia