Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza mkakati mpya wa kijeshi kuhusu Afghanistan na eneo zima la Asia ya Kusini// Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Jim Mattis, amewasili nchini Iraq// Korea Kaskazini imetoa kitisho kikali kuhusiana na luteka za kijeshi kati ya Marekani na Korea Kusini// Maelfu ya raia nchini Kenya wameendelea kuteseka kufuatia uwepo wa mgomo wa wauguzi.