1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.07.2024 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S22 Julai 2024

Chama cha Democratic nchini Marekani kimeanza mbio za kuteua atakayepeperusha bendera ya chama hicho kwenye uchaguzi ujao baada ya Rais Joe Biden kujiondoa kwenye kinyang'anyiro+ Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania amewafuta kazi mawaziri wake kadhaa+ Rais wa Kenya William Ruto ameapa kuzuia maandamano.

https://p.dw.com/p/4iaZe