Mahakama Kuu imeyatupilia mbali maombi ya Halima Mdee na wenzake 18 wanachama wa Chadema kutokana na kasoro katika jina la mjibu maombi wa kwanza/ Vifo vya Tetemeko la Ardhi Afghanistan vyafikia 1,000/ Amnesty: Raia lazima walindwe Kongo/ Wajumbe wa Baraza la usalama la Umoja wa Afrika wako ziarani Burundi / Unyanyapaa dhidi ya walioambukizwa virusi vya HIV bado ni changamoto barani Afrika