Kenyatta na makamu wake Ruto waendelea kutofautiana/ Uganda yalazimika kuwapokea wakimbizi 4000 wa DRC/ DRC: Kuhukumiwa kwa Vital Kamerhe kumezusha maoni tofauti katika mkoa wake wa Kivu kusini/ Sudan, Ethiopia na Misri bado zavutana kuhusu mto Nile/ Dunia imeshuhudia ongezeko kubwa zaidi la siku moja kuwahi kutokea katika katika maambukizi ya virusi vya corona