Ujerumani: Kiongozi wa chama cha SPD anataka kujadili upya masuala muhimu/ "Elysée-Vertrag": Miaka 55 tangu yalipotiwa saini makubaliano ya urafiki kati ya Ujerumani na Ufaransa/ Pence ameliambia bunge la Israel kuwa Ubalozi wa Marekani utahamishwa kutoka Tel Aviv hadi Jerusalem kufikia mwishoni mwa mwaka 2019/ George Weah amekula kiapo kuchukua rasmi wadhifa wa rais wa Liberia