Watu 16 wameuwawa baada ya waasi kutoka Uganda ADF kukishambulia kijiji cha Kalembo+++UN yapongeza juhudi za Umoja wa Afrika katika kusaidia mchakato wa kisiasa eneo la Maziwa Makuu+++Rais wa Uturuki Reccep Tayyip Erdogan amefanya ziara katika nchi kadhaa za Afrika wiki hii kuelekea mkutano wa kibiashara na uchumi kati ya Uturuki na Afrika.