Uchaguzi Mkuu Tanzania Oktoba 28/ Chama tawala nchini Tanzania, CCM kinakamilisha ungwe yake ya mwisho ya mchujo wa wagombea wa ubunge katika uchaguzi mkuu ujao7 Umoja wa Ulaya hatimaye wakubaliana kuufufua uchumi wao/ Amnesty International: Wakimbizi wa ndani nchini Somalia wakabiliwa na dhiki kubwa/ Mshambuliaji wa sinagogi Halle apandishwa kizimbani