Shughuli ya kuhesabu kura bado inaendelea nchini Burundi siku moja baada ya kufanyika uchaguzi// Tanzania- Magufuli aruhusu vyuo, michezo kuanza tena// Maambukizi ya virusi vya corona duniani yapindukia milioni 5// Kimbunga Kikali kimeikumba India na Bangladesh, na kusababisha madhara makubwa hii leo Alkhamisi. Taarifa zinaelezea kwamba watu wasiopungua 22 wamefariki.