Covid-19: Tanzania yanza kutoa elimu kwa njia ya TV, redio/ Suala la kunyanyapaliwa kwa waliopona maradhi ya Covid-19 limeanza kujitokeza/ Corona yatishia uhuru wa habari/ Kenya: Watu 12 wamefariki kutokana na maporomoko ya ardhi na mafuriko yaliyoshudiwa katika mpaka wa kaunti za elgeyo marakwet na pokot magharibi nchini Kenya/ Makubaliano ya kuunda serikali yafikiwa nchini Israel