Kenya yaondoa marufuku ya kutembea usiku/ Syria: Mabomu mawili yamelipuka na kuwauwa watu waliokuwa katika basi la jeshi mjini Damascus/ Leo imetimia miaka 10 tangu kiongozi wa muda mrefu wa Libya Muammar Gaddafi kuondolewa madarakani na kuuawa/ Mwanablogu maarufu nchini Uganda Fred Lumbuye aliekuwa amakamatwa na kuzuwiwa nchini Uturuki, ameachiwa huru