1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

20.07.2024 Taarifa ya Habari ya Asubuhi

20 Julai 2024

Rais Joe Biden wa Marekani amesisitiza kuwa atasalia katika kinyang'anyiro cha uraisi, licha ya kuongezeka kwa hali ya kupingwa kutoka kwa maafisa waandamizi wa chama chake cha Democrats, ambayo ilizua uvumi kwamba anaweza kujiuzulu katika siku hizi za mwisho wa juma.

https://p.dw.com/p/4iX35
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Symbolbild Weltwirtschaft Global Economy Globalisierung
Picha: Kheng Ho Toh/PantherMedia/imago imagesPicha: Kheng Ho Toh/PantherMedia/imago images

Asubuhi: Taarifa ya Habari, saa 12:00 (Afrika Mashariki)

Pata Taarifa ya Habari ya Asubuhi, saa 12:00 (Afrika Mashariki)