May akutana na Merkel mjini Berlin/ Washington: Mawaziri wa ulinzi na wa mambo ya nje wanakutakana kupanga mikakati zaidi ya kupambana na kundi la IS/ Uturuki: Erdogan ameongoza kikao cha baraza la taifa la usalama/ Mgogoro wa ardhi katika eneo la Loliondo Wilayani Ngorongoro: Wanasiasa watatu wameshikiliwa na polisi