Serikali ya Marekani inapanga kuzindua mpango wa amani wa Mashariki ya Kati katika kongamano likatakalofanyika mwezi ujao nchini Bahrain/ Congo: Rais Tshisekedi ametangaza jina la waziri mkuu mpya/ Austria kufanya uchaguzi wa mapema Septemba/ Dunia huadhimisha siku ya nyuki