Tanzania: Viongozi wa Chadema kufikishiwa hati ya kutakiwa kufika kituoni kwa ajili ya mahojiano/ Kenya: Hali ya kisiasa/ Ofisi ya Shirika la UNHCR, nchini Uganda imetoa tamko rasmi kuhusu madai ya kashfa za ufisadi/ Abbas anatarajiwa kulihimiza Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupinga uamuzi wa Marekani wa kuutambua mji wa Jerusalem kama mji mkuu wa Israel