Usalama umeimarishwa katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, huku kukiwa na hofu ya kuzuka ghasia ikiwa leo ni siku unaomalizika muhula wa uongozi wa Rais Kabila/ Kenya-Madaktari wanaogoma wameapa kutatiza huduma za matibabu katika hospitali binafsi kuanzia Alhamisi wiki hii/ Shirika la waandishi habari wasiokuwa na mipaka RSF limetowa ripoti kwamba kiasi ya waandishi habari 57 wameuwawa .