Korea kaskazini imesema leo kwamba itaifunga mitambo yake muhimu ya makambora mbele ya uangalizi wa wataalamu wa kimataifa, ikiwa ni ishara ya hivi karibuni ya kiongozi wake Kim Jong Un ya kuyfufua mazungumzo yake na Marekani juu ya mpango wake wa nyuklia.