Mzozo wa kidiplomasia unatokota kati ya Kenya na Tanzania baada ya nchi hizo mbili kufungiana mipaka kutokana na madai ya kila nchi kuhusu kusambaa kwa virusi vya corona/ Burundi kabla ya uchaguzi/ HRW: Kukamatwa kwa Kabuga ni ushindi kwa waathirika wa mauaji ya kimbari Rwanda/ Waziri Mkuu wa Lesotho, Thomas Thabane amejiuzulu / Idadi ya wahanga wa ghasia za Afghanistan yaongezeka Aprili