Kufuatia matamshi ya rais mpya wa Tanzania, akisisitiza kuwa serikali yake inaenzi na kuendeleza kazi zilizofanywa na Magufuli, tumezungumza na mchambuzi wa siasa/ Rwanda yailaumu Ufaransa kushindwa kuzuia mauaji ya Kimbari/ Iran: Inakaribisha mara zote mazungumzo na Saudi Arabia/ Kongo: Zoezi la utoaji wa chanjo dhidi ya virusi vya corona limeanzishwa rasmi