Serikali zaendelea kuwekewa mbinyo wa kuondoa vizuizi vya kudhibiti janga la corona // Uumbe wa Afrika Kusini upo Lesotho baada ya jeshi kuwekwa mitaani kwa muda // Na Msumbiji yamfukuza nchini mlanguzi wa dawa za kulevya aliyetafutwa na Brazil kwa miongo miwili