Wakurdi wakubali jeshi la Syria kuingia mkoa wa Afrin/ Tanzania: Watetezi wa haki za binadamu wamemtaka waziri wa mambo ya ndani kujiuzulu nafasi yake/ Kenya: Mvutano kati ya wanasiasa wa upinzani wa NASA na Jubilee umechukua sura mpya/ Mkutano wa usalama wa Munich ulikumbwa na hali ya kunyosheana vidole au kulaumiana anavyosema Mathias von Hein katika maoni yake