Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameambukizwa virusi vya corona// Takriban wanafunzi 100 hawajulikani walipo, Congo// Mahakama ya Juu ya Umoja wa Ulaya imetoa uamuzi leo Alhamisi kwamba Hungary imevunja sheria kwa kuwazuia wahamiaji wanaoingia nchini humo haki ya kutafuta hifadhi// Barnier: Mazungumzo ya Brexit yanaelekea pazuri.