Von der Leyen atoa ahadi kuhusu mabadiliko ya tabianchi Ulaya / Mjumbe wa UN akutana na Bin Salman kuijadili Yemen/ Iran: Mpango wa makombora waweza kujadiliwa na Marekani/ Shirika la UNHCR limesema lina wasiwasi mkubwa kuhusu hatua mpya dhidi ya wahamiaji zinazochukuliwa sasa na serikali ya Rais Trump/ Kenya: Hali mbaya ya kiangazi na ukame imelikumba jimbo la Wajir