Jeshi la Rwanda limesema kuwa mwanajeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo aliyebeba bunduki aina ya AK-47 amevuka mpaka na kuwafyatulia risasi polisi wa Rwanda+++Nchini Rwanda kunafanyika mkutano wa makamishna wakuu wa tume za haki za binadamu kutoka nchi za Jumuiya ya Madola+++Viongozi wakutana Madrid kuadhimisha siku ya kupambana na ukame.