Rais mpya wa Ufaransa na waziri wake mkuu Edouard Philippe wametangaza serikali yao ya kwanza, inaowaleta pamoja mawaziri wanaotajikana "kutokuwa na ila" kutoka mirengo ya kushoto na kulia// Wanasiasa wa Kenya wameonywa dhidi ya kueneza uchochezi kwenye hafla za siasa wanapojitafutia kura//Mtandao wa polisi wanawake kutoka nchi za kusini mwa afrika SADC leo wamekutana jijini Dar es salaam.