Wataalamu wa silaha za sumu hawajapewa kibali kuingia Douma/ Tanzania: Mvua yaua 9 Dar es Salaam/ Janga la mvua kubwa na mafuriko nchini Tanzania: Mahojiano na Meya mstahiki wa Jiji la Dar es Salaam kujua ni juhudi gani zinazofanyika kukabiliana na hali hiyo/ Kenya: Makamishna watatu wa tume huru ya uchaguzi na mipaka, IEBC, wametangaza kujiuzulu