Msemaji wa jeshi la polisi la Uganda Andrew Felix Kaweesi ameuawa// Kansela wa Ujerumani Angela Merkel anatarajiwa kukutana na rais wa Marekani Donald Trump kwa mara ya kwanza leo hii katika ikulu ya White House mjini Washington// Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani Rex Tillerson amema Sera ya uvumilivu wa kimkakati kwa Korea Kaskazini imefikia mwisho.