Rais Mteule wa Marekani, Donald Trump ameikosoa vikali sera ya Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel ya kufungua milango kwa wakimbizi na kusema kuwa msimamo huo unaweza ukasababisha hata nchi nyingine zaidi kujiondoa katika Umoja wa Ulaya//Pengo kati ya matajiri zaidi na maskini zaidi ambao ni nusu ya idadi ya watu wote ulimwenguni limeelezwa kuwa kubwa kuliko ilivyodhaniwa awali