Mataifa ya Ulaya yataka suluhisho mgogoro wa Iran na Marekani/ Hali ya kisiasa nchini Tanzania/ Kongo: Mvutano waibuka ndani ya vuguvugu la FCC kuhusu uteuzi wa mgombea spika wa seneti kutoka vuguvugu hilo/ Marekani: Hofu imetawala kwa wahamiaji wanaoishi katika nchi hiyo kufuatia kutangazwa msako wa nchi nzima wa kuwatafuta wahamiaji wanaoishi bila kibali